Nilikuwa mtu wa kupigiwa mfano. Nilikuwa na kazi ya kudumu, mshahara mzuri, na nyumba yangu mwenyewe. Nilihama kutoka kupanga hadi kumiliki ndani ya miaka michache tu ya ajira.
Watu wengi waliniona kama kijana aliyefanikiwa mapema maishani. Lakini nyuma ya tabasamu langu kulikuwa na siri nzito ambayo sikuweza kuielezea.
Kila mwaka kulikuwa na hasara kubwa. Haikuwahi kupita mwaka mzima bila kupoteza kitu cha maana sana maishani mwangu.
Mwaka wa kwanza nilipopata nyumba yangu, nilimpoteza mama yangu mzazi kwa ugonjwa wa ghafla. Maumivu yale yaliniumiza sana lakini nilijipa moyo kuwa maisha yanaendelea.

Mwaka uliofuata nilipandishwa cheo kazini, lakini ndani ya miezi michache niliingia kwenye kesi ya kifedha iliyosababisha nipoteze akiba yangu yote.
Nilianza kuona mzunguko usio wa kawaida. Kila mafanikio yalifuatwa na pigo kubwa. Niliponunua gari langu la kwanza, kaka yangu alipata ajali mbaya. Alinusurika lakini matibabu yake yaligharimu pesa nyingi sana kiasi cha kuniweka kwenye madeni.
Nilianza kujiuliza, je, mafanikio yangu ndiyo yanayovuta mikosi? Nilijikuta nikihofia hata kupiga hatua mbele. Nilipata ofa ya kuhamishiwa tawi la nje ya nchi lakini niliikataa kwa sababu ndani yangu nilihisi kuna jambo baya lingetokea kama ningekubali.
Mwaka mwingine nilipoanza kujenga nyumba ya pili kwa ajili ya uwekezaji, mchumba wangu aliniacha ghafla bila maelezo ya kueleweka.

Nilivunjika moyo. Haikuwa tu kuhusu mapenzi bali namna ilivyotokea. Tulikuwa na mipango ya ndoa.
Tulikuwa tumefika hatua ya kuwatambulisha wazazi. Lakini ndani ya miezi michache mambo yaligeuka.Soma Zaidi.
Post a Comment