Kikosi cha Yanga, leo Jumatano, saa 1 usiku kitaanza kampeni ya kutetea taji la CRDB kwa msimu wa tano mfululizo pale watakapoikaribisha Cosmopolitan katika mchezo utakaopigwa uwanja wa kMC Complex.
Hii itakuwa mechi ya kwanza tangu mabingwa hao wa Tanzania Bara watupwe nje ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika (CAFCL).
Ni wazi leo Wananchi watakwenda kucheza mechi hiyo wakiwa na dhamira ya kuanza kibabe kampeni ya msimu huu na zaidi kuwapoza mashabiki wao baada ya kushindwa kufuzu robo fainali ya ligi ya mabingwa.
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amesema malengo ya klabu hiyo ni kutetea mataji yote ya ndani.
Usikose kutazama mechi zote zA Caf, mechi zote za ulaya, ligi kuu Tanzania bara, CRDB CUP na nyingine nyingi LIVE kupitia Simu yako
download App hii mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPAAAA AU HAPAAAA au HAPAA kumbuka app bado hayujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK hivo ikileta neno harmful usiogope ni kwasababu bado hatujaiweka playstore

Post a Comment