Simba leo itashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kuhitimisha hatua ya makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika (CAFCL) kwa kuikaribisha Stade Malien.
Ni mchezo unaozikutanisha timu mbili ambazo kila moja imevuna kile ilichostahili katika michuano hiyo msimu huu.
Stade Malien ndio vinara wa kundi D, wakiwa na alama 11, wamekuwa na kiwango kizuri katika mechi zote tano za makundi wakishinda tatu na kutoka sare mechi mbili.
Malien ni timu pekee ambayo haijapoteza mchezo kutoka kundi D. Upande wa Simba mambo ni tofauti, umekuwa msimu mbaya sana wa ligi ya mabingwa kwao.
Usikose kutazama mechi zote zA Caf, mechi zote za ulaya, ligi kuu Tanzania bara na nyingine nyingi LIVE kupitia Simu yako
download App hii mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPAAAA AU HAPAAAA au HAPAA kumbuka app bado hayujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK hivo ikileta neno harmful usiogope ni kwasababu bado hatujaiweka playstore

Post a Comment