Nilipofunga biashara yangu, nilihisi kama ndoto yangu imezikwa hai. Madeni yalikuwa yamenifunika kutoka kila upande wenye nyumba walitaka kodi, wauzaji walitaka malipo, na wateja waliokuwa wamezoea kuniona walipotea kimya kimya. Kila nilipopita sokoni, nilijificha macho chini kwa aibu.
Nilikuwa nimejaribu kila kitu nilichojua, lakini kilichobaki ni stress na lawama binafsi.
Nilijaribu kurudi sokoni kwa nguvu, nikakopa tena, nikapunguza bei, hata nikabadilisha bidhaa. Hakuna kilichoshika. Badala ya kusonga mbele, nilizama zaidi. Ndipo nikagundua kuwa tatizo halikuwa pesa pekee, bali mwelekeo. Soma zaidi hapa

Post a Comment