Kwa zaidi ya miaka minne, maumivu ya mgongo yalikuwa sehemu ya maisha yangu ya kila siku. Kuamka asubuhi ilikuwa kazi, kukaa muda mrefu kulileta maumivu makali, na hata kulala kulihitaji kubadilisha mikao mara kwa mara. Niliendelea kunyamaza kwa sababu sikuwa na pesa nyingi za hospitali, na sikuwa tayari kuishi maisha ya dawa za maumivu kila siku.
Watu walinionya nizoe maumivu, lakini moyoni nilijua lazima kuwe na njia ya kutoka.
Nilijaribu njia za kawaida dawa za maumivu, kupaka mafuta ya moto, hata kupumzika kazini. Hakuna kilichodumu. Maumivu yalipungua kwa muda mfupi kisha yakarudi kwa nguvu. Soma zaidi hapa

Post a Comment