Nilianza Mwaka Mpya Nikiwa Naogopa Wivu Kazini Hatua Nilizochukua Kunilinda


  

Kuingia mwaka mpya kazini kulinipa hofu isiyo ya kawaida. Nilikuwa nimepata dalili za wivu na maneno ya chini chini kutoka kwa baadhi ya watu niliokuwa nafanya nao kazi. Kila nilipofanikisha jambo, nilihisi macho ya watu yakinifuata, minong’ono ikaongezeka, na mazingira ya kazi yakaanza kunikosesha amani.

Nilijiuliza kama mwaka huu nao ungekuwa wa migogoro na kurudishwa nyuma. Nilijaribu kujilinda kwa njia nilizojua kukaa kimya, kufanya kazi kwa bidii zaidi, na kuepuka mabishano. Lakini presha haikupungua.

Nilianza kuamka asubuhi nikiwa na mzigo moyoni, nikihofia makosa ya kupangiwa au kushushwa hadhi bila sababu. Ilifika mahali nikagundua kwamba kujituma pekee hakutoshi kama mazingira yana sumu ya wivu. Soma zaidi hapa 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post