Siku ya leo inaenda kubadilisha maisha yako moja kwa moja kwani mechi kibao zipo uwanjani na nafasi ya kuondoka na ushindi ipo mikononi mwako. Ingia kwenye akaunti yako na uanze kubeti sasa.
SAUDI PROFESSIONAL LEAGUE kule Saudia pia kama kawaida itaendelea kwa mechi kadhaa ambapo Al Najma atakuwa mwenyeji Al Khaleej ambao wapo nafasi ya 9 kwenye msimamo wa ligi, huku mwenyeji yeye akiwa ndio kibonde wa ligi hadi sasa. ODDS KUBWA zipo kwenye mechi hii. Beti hapa.
Kwa upande wa Al Ettifaq wao watuamana dhidi ya Al Akhdoud ambao wapo nafasi ya 2 kutoka mwisho wakiwa na pointi 5 pekee kwenye mechi zao walizocheza mpaka sasa. Mwenyeji yeye yupo nafasi ya 8 akiwa na pointi zake 15 hadi sasa. Meridianbet wameipa mechi hii machaguo zaidi ya 1000. Tengeneza jamvi hapa.
Na mechi kali itakuwa ni hii ya Al Ahli vs Al Nassr ambapo tofauti yao mpaka sasa 11 ambapo wenyeji wapo nafasi ya 4 huku wageni wao ndio wapo kileleni kwenye msimamo wa ligi. Ronaldo na wenzake wanahitaji ushindi ili kujihakikishia wanachukua ubingwa msimu huu. Beti hapa.
Tajirika kwenye michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette,Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Vilevile kule Ufaransa LIGUE 1 kama kawaida kitawaka ambapo Toulouse atamenyana vikali dhidi ya Lens ambao wapo nafasi ya kwanza kwenye msimamo wa ligi, huku wageni wao wakiwa nafasi ya 8. Kila timu inahitaji ushindi siku ya leo ijiweke kwenye nafasi nzuri kwenye msimamo wa ligi. ODDS KUBWA zipo kwenye mechi hii ya leo. Suka jamvi hapa.
LALIGA kule Hispania itaendelea kwa mechi moja ambapo Rayo Vallecano atamleta kwake Getafe ambao mpaka sasa wapo nafasi ya 15 kwa 11 huku tofauti yao ikiwa ni pointi mbili mpaka sasa. Mara ya mwisho kukutana hawa wawili, mwenyeji aliondoka na ushindi huku msimu huo akiondoka na pointi 4. Nani kushinda leo?. Bashiri hapa.
Kule Italia SERIE A, itaendelea pia ambapo AC Milan atakuwa ugenini kusaka ushindi dhidi ya Cagliari ambao mpaka sasa wapo nafasi ya 14 huku wageni wao wakiwa nafasi ya 2. Milan wapo kwenye mbio za ubingwa msimu huu hivyo ushindi huu ni muhimu sana kwao. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda vijana wa Allegri. Wewe beti yako unaiweka kwa nani?. Jisajili hapa.
Ureno pia ligi kuu itaendelea PRIMEIRA LIGA kwa mechi mbili pekee, Sporting Cp watakuwa ugenini kupepetana dhidi ya Gil Vicente ambao walipoteza mechi ya mwisho walipokutana hivyo hii ni mechi yao ya kisasi kwa mabingwa hawa watetezi. Nafasi ya kushinda anapewa Sporting pale Meridianbet. Je wewe unampa nani beti yako?. Bashiri hapa.
Vitoria Guimaraes watawakaribisha kwao Nacional ambao mpaka wapo nafasi ya 13 kwa nafasi ya 07. Pointi 3 ni muhimu kwa timu zote mbili na tofauti yao hadi sasa kwenye ligi ni 6 pekee. Mara ya mwisho kukutana mwenyeji aliondoka na pointi 4. Je leo hii mgeni ataanza kulipa kisasi?. Jisajili hapa.
The post TIMIZA NDOTO ZAKO NA MERIDIANBET LEO appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/aR8rvWI
via IFTTT
Post a Comment