Leo hii ni siku nzuri kabisa ya wewe mteja wa Meridianbet kuondoka na ubingwa hapa. Timu kibao zipo uwanjani kwaajili ya kuhakikisha hubaki patupu kabisa hivyo tengeneza jamvi lako la ushindi na wakali hawa.
Ligi daraja la kwanza Uingereza CHAMPIONSHIP pia inatarajiwa kuendelea Hull City atamenyana dhidi ya Stoke City ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 4 pekee na mara ya mwisho kukutana mwenyeji aliondoka na ushindi. Kila timu inahitaji pointi 3?. Je nani kuibuka mbabe siku ya leo?. Suka jamvi hapa.
Nao Ipswich Town watakuwa nyumbani kukipiga dhidi ya Oxford United ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 16 hadi sasa. Kila timu inahitaji ushindi ili iweze kusogea kwenye nafasi ya juu. Mechi hii imepewa Odds kubwa pale Meridianbet hivyo hii ni nafasi ya wewe kuondoka na ushindi. Bashiri hapa.
Norwich City atakuwa ugenini kusaka pointi 3 dhidi ya QPR ambao wanashika nafasi ya 9 huku mgeni yeye akiwa nafasi ya 23 kwenye msimamo wa ligi akiwa na pointi zake 21. Ushindi ni muhimu kwa mgeni zaidi kwani ana hali mbaya sana kwenye ligi. Je wewe beti yako unaiweka kwa nani siku ya leo?. Jisajili hapa.
Chukua ushindi haraka kwenye michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette,Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Kwa upande wa Southampton wao watakuwa nyumbani kusaka ushindi dhidi ya Millwall ambao mpaka sasa wanashika nafasi ya 7 huku mwenyeji yeye akiwa nafasi ya 12 kwenye msimamo wa ligi. Mara ya mwisho kukutana mgeni aliondoka na ushindi mnono. Je leo hii nani kuondoka na mkwanja?. Tandika jamvi hapa.
Watford atamenyana dhidi ya Birmingham City ambao mpaka sasa wanashika nafasi ya 15 kwenye msimamo wa ligi. Mwenyeji yeye yupo nafasi ya 8 huku tofauti yao mpaka sasa ikiwa ni pointi 5 pekee. Meridianbet wameweka mechi hii machaguo zaidi ya 1000. Suka jamvi hapa.
Uingereza kama kawaida EPL kama kawaida inaendelea ambapo Crystal Palace atamleta kwake Fulham huku mara ya mwisho kukutana mwenyeji aliondoka na ushindi mnono. Meridianbet wameipa mechi hii Odds kubwa na machaguo zaidi ya 1000. Je wewe nafasi ya kushinda unaiweka kwa nani siku ya leo?. Bashiri hapa.
Mechi nyingine ni hii ya Liverpool vs Leeds United ambao wamepanda daraja msimu huu na wakiwa nafasi ya 16 kwa nafasi ya 4. Vijana wa Slot wanahitaji ushindi siku ya leo waendelee kukimbizana kwenye mbio za ubingwa wakiwa kama mabingwa watetezi. Nani kushinda leo?. Jisajili hapa.
Nao Brentford watakuwa kibaruani kusaka ushindi dhidi ya Tottenham Spurs ambapo mtanange wa mwisho kukutana hawa wawili, Spurs aliondoka na ushindi hivyo ni nafasi ya mwenyeji kulipa kisasi leo. Meridianbet inakwambia kuwa mechi hii ina ODDS KUBWA sana hivyo ingia na ubeti sasa.
Vijana wa Pep Guardiola Manchester City watakuwa ugenini kukipiga dhidi ya Sunderland ambao ni moja ya timu ngumu sana kwenye ligi kuu ya Uingereza kutokana na ubora ambao wanao hadi sasa. City yupo kwenye mbio za ubingwa hivyo kuangusha pointi kwake ni mwiko. Bashiri hapa.
The post JISAJILI NA UBASHIRI NA MERIDIANBET LEO appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/j0DZCNc
via IFTTT
Post a Comment