Siku ya harusi yangu ilikuwa lazima iwe moja ya siku za furaha ya milele. Tulikuwa tayari kupiga picha, wageni walikuwa wametimia, na mapambo yalikuwa ya kuvutia. Lakini, ndoto ya siku hiyo iligeuka giza. Wakati harusi ikianza, niligundua mume wangu alitoroka na best maid wangu.
Nilihisi moyoni mwangu dunia inaniangukia. Aibu na uchungu vilijaa kila pembe ya moyo wangu. Nilijaribu kuendelea. Nilijaribu kudhibiti hali, kuendelea na sherehe, na kuonesha furaha kwa wageni. Lakini kila kicheko kilikuwa giza ndani yangu.
Kila jambo lilionekana kuanguka, na kila mtu alikuwa akitazama kwa mshangao. Nilihisi nimepoteza kila kitu: mume wangu, heshima, na hata amani yangu ya ndani. Kadri siku zilivyopita, hali ilizidi kuwa ngumu. Marafiki na familia waliniuliza maswali ya moja kwa moja. Soma zaidi hapa

Post a Comment