Michuano ya Mataifa Barani Africa (AFCON) inatarajiwa kuendelea lakini pia na ligi mbalimbali huku timu kibao zikijidhatiti kupambana kwa hali na mali ili iweze kuchukua taji hilo.
SERIE A kule Italia inatarajiwa kuendelea ambapo mapema kabisa AC Milan atakipiga dhidi ya Hellas Verona ambao wapo nafasi ya 18 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 2. ODDS KUBWA zipo mechi hii ndani ya Meridianbet. Tandika jamvi hapa.
Vijana wa Antonio Conte Napoli watakuwa ugenini dhidi ya Cremonese ambapo mara ya mwisho kukutana wenyeji walipoteza. Napples wanahitaji ushindi siku ya leo ili kukimbizana na mbio za Scudetto. Bashiri na Meridianbet mechi hii.
Kwa upande wa Bologna wao wataumana dhidi ya Sassuolo ambao wamepanda daraja msimu huu. Tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 4. Je nani kuondoka na ushindi siku ya leo?. Na wewe pesa yako unampa nani akupe maokoto?. Jisajili hapa.
Na mechi kali Italia itakuwa saa 4 usiku ambapo Atalanta atamleta kwake Inter Milan ambao wapo nafasi ya kwanza huku mwenyeji yeye akiwa nafasi ya 12. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000. Unangoja nini?. Suka jamvi la ushindi hapa.
Tengeneza pesa ya haraka na michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette,Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
AFCON leo hii kutakuwa na mitanange mingi ambapo Equatorial Guinea atakipiga dhidi ya Sudan ambapo takwimu zinaonesha kuwa mara ya mwisho kukutana, ilikuwa ni 2019 ambapo Guinea alishinda. Je leo hii nani kuondoka na ushindi?. Bashiri hapa.
Pia mechi nyingine ni hii ya Algeria vs Burkina Faso mechi ambayo ni ya Kundi E. Kila timu inahitaji ushindi leo hii kuanza vyema michuano hii, huku wakali wa ubashiri wao wakikwambia kuwa ODDS KUBWA zipo hapa Meridianbet. Suka jamvi lako la ushindi leo.
Kule Kundi F, pia kutakuwa na mechi kati ya Gabon vs Mozambique ambapo zinakutana timu mbili ambazo hazijapishana sana kiuwezo. Imepita miaka 10 tangu timu hizi zikutane hivyo kila timu itakuwa na hamu ya kupata ushindi kutoka kwa mwenzake. Machaguo zaidi ya 1000 yapo kwenye mechi hii. Jisajili hapa.
Naye bingwa mtetezi wa michuano hii, Ivory Coast atakuwa kibaruani kuanza safari yake ya kutetea taji hili dhidi ya Cameroon moja ya timu ambazo zina wachezaji wenye uwezo mkubwa sana. Hii ni mechi ya kukata na shoka, lakini pale Meridianbet hii mechi ya kukupatia pesa. Suka jamvi hapa.
Na mechi kali Italia itakuwa saa 4 usiku ambapo Atalanta atamleta kwake Inter Milan ambao wapo nafasi ya kwanza huku mwenyeji yeye akiwa nafasi ya 12. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000. Unangoja nini?. Suka jamvi la ushindi hapa.
EPL kutakuwa na mechi mbili za pesa ambapo Sunderland ataumana dhidi ya Leeds United ambapo timu hizi zote mbili wamepanda daraja msimu huu. Mechi ya mwisho kukutana, mgeni aliondoka na ushindi. Je leo hii mwenyeji kulipa kisasi akiwa nyumbani?. Bashiri hapa.
Mechi nyingine ni hii ya Crystal Palace vs Tottenham Spurs mechi ya kibabe kabisa yenye Odds kubwa pale Meridianbet. Kila timu inahitaji ushindi ili iweze kusogea mbele kwenye msimamo wa ligi. Nafasi kubwa ya kuondoka na pesa ipo kwenye mechi hii. Tengeneza jamvi hapa.
The post ODDS KUBWA ZIPO KWENYE MECHI ZA LEO appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/wrdefmk
via IFTTT
Post a Comment