Kwa miaka mingi nilijaribu kila aina ya biashara, nikijiambia kwamba siku moja lazima niwe na mafanikio. Nilifungua maduka madogo, nilijaribu kuuza bidhaa mtandaoni, nikafikiria hata kuingia ubia na marafiki. Kila mara mwisho ulikuwa hasara.
Kila pesa niliyoingiza ilionekana kuondoka bila matokeo, na kila fursa niliyoshika ilikufa kabla hata haijakomaa. Nilihisi nimekata tamaa, lakini bado sikuweza kuacha. Kilichoniuma zaidi ni kuona watu niliokuwa nao mwanzo wakifanikiwa huku mimi nikiporomoka.
Marafiki na jamaa walianza kuniangalia kwa shaka. Nilijilaumu kwa kila kitu, nikijiuliza kama mimi si mtu wa biashara. Nilijaribu kila njia ya kawaida ushauri wa watu, kubadilisha bidhaa, kuongeza bidii lakini hakuna kilichofanya tofauti. Soma zaidi hapa

Post a Comment