Taarifa zisizo na shaka kutoka ndani ya uongozi wa Yanga ni kuwa mabingwa hao wa soka Tanzania Bara wamekamilisha mchakato wa kumuajiri kocha wa timu ya Taifa ya Madagascra Romuald Rakotondrabe maarufu kama Roro.
Yanga imekuwa kwenye mazungumzo ya siku kadhaa na Roro ambaye aliongoza Madagascar kucheza fainali ya michuano ya CHAN 2024 ikipoteza kwa mabao 3-2 mbele ya Morocco katika mchezo ambao walikaribia kuandika historia ya aina yake
Inaelezwa tayari Roro amesaini mkataba wa miaka miwili akichukua nafasi ya kocha Romain Folz ambaye miezi miwili imetosha kwake baada ya kushindwa kuleta ushawishi wa kimbinu
Yanga iko kwenye mazungumzo na Folz ili kusitisha mkataba wake kabla ya kumtangaza Roro
Roro ameshawishika kujiunga na Yanga licha ya kupokea ofa nyingi, akivutiwa zaidi na ubora wa kikosi cha Yanga pia ushindani wa ligi kuu ya NBC
Usikose kuitazama mechi ya SILVER STRICKERS VS YANGA na NSINGIZINI VS SIMBA LIVE kupitia Simu yako pia ukiwa na app hii utaweza kutazama mechi zote za LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA, MASHINDANO YA CAF LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA au Bonyeza HApa Au hapa pia kudownload app kumbuka app bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama Apk

Post a Comment