Mke wangu kabadilisha kabisa furaha ya ndoa yetu

 

Jina langu ni Benard kutoka Nakuru, na kwa muda mrefu nilikuwa nimechoshwa na ndoa yangu. Nilimpenda mke wangu Caroline, lakini tulikuwa tumeanza kupoteza ule ukaribu wa kimapenzi. 

Nilijaribu kuzungumza naye, lakini kila mara alihisi kama namkosoa. Niliona uchovu usoni mwake, na hata tabasamu lake lilipotea. Nilianza kufikiria mambo ya pembeni, kitu ambacho sikuwahi kukipenda, lakini mwili wangu ulikuwa unanituma kutafuta sehemu nyingine za kuridhika.

Siku moja, mama yangu mzazi alitugundua kitu. Alikaa naye kimya kimya, na baada ya siku chache, nilianza kuona mabadiliko yasiyo ya kawaida. 

Caroline alianza kunionyesha upendo kwa njia ambazo nilikuwa nimezisahau. Alianza kuvaa vizuri, kunitunza, na hata kuonyesha ule moto nilioukosa kwa muda mrefu. Soma zaidi hapa 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post