Simba kukipiga dhidi ya Al hilal ya Sudan leo mechi ya kirafiki

Kikosi cha Simba leo kinatarajiwa kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya Al Hilal ya Sudan

Mchezo huo wa ndani hautahudhuriwa na mashabiki, ni pendekezo ya Meneja Mkuu wa Simba Dimitar Pentev ambaye tayari ameanza majukumu yake Msimbazi

Mchezo huo unatarajiwa kupigwa katika uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Mbweni jijini Dar es salaam

Pia ni sehemu ya maandalizi ya timu zote kuelekea mechi za kuwania kufuzu hatua ya makundu ya ligi ya mabingwa

Usikose kuitazama mechi ya SILVER STRICKERS VS YANGA na NSINGIZINI VS SIMBA LIVE kupitia Simu yako pia ukiwa na app hii utaweza kutazama mechi zote za LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA, MASHINDANO YA CAF LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza  HAPA  au Bonyeza HApa   Au hapa pia kudownload app kumbuka app bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama Apk

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post