Yanga kuanza kampeini ya kutetea ubingwa jumatano hii


 Kikosi cha Yanga leo kinarejea mazoezini kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Pamba Jiji ambao utapigwa Jumatano, Septemba 24 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Msimu huu Yanga imechagua kutumia dimba la Mkapa kama uwanja wake wa nyumbani katika mechi za ligi kuu, kombe la CRDB na Ligi ya mabingwa

Ni baada ya Serikali kufungua uwanja huo ambao kwa takribani misimu miwili haukutumika kwa mechi za ligi kutokana na ukarabati uliokuwa ukiendelea

Ni baada ya Serikali kufungua uwanja huo ambao kwa takribani misimu miwili haukutumika kwa mechi za ligi kutokana na ukarabati uliokuwa ukiendelea

Yanga kurejea dimba la Mkapa ni habari njema kwa mashabiki ambao sasa watapata nafasi ya kuishuhudia timu yao kwa wingi

Katika misimu miwili iliyopita, Yanga ilitumia viwanja vya Azam Complex na KMC Complex ambavyo vilichukua idadi ndogo ya mashabiki wasiozidi 7000

Usikose kutazama mechi ya YANGA VS PAMBA JIJI na SIMBA VS FOUNTAIN GATE, pia na mechi za LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA, MASHINDANO YA CAF LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza  HAPA  au Bonyeza HApa   Au hapa pia kudownload app kumbuka app bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama Apk ikileta neno harmful usiogope.

 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post