Ni suala la muda klabu ya Simba itatangaza kuachana na kocha Fadlu Davids baada ya makubaliano ya pande mbili kufikiwa
Fadlu juzi aliiongoza Simba kwa mara ya mwisho katika mchezo wa hatua ya awali ligi ya mabingwa dhidi ya Gaborone United, mchezo ambao Simba iliibuka na ushindi wa bao 1-0 ugenini
Tayari Simba imeanza mchakato wa kumsaka mrithi wake haraka ili aendelee na majukumu akishirikiana na kocha Selemani Matola
Fadlu yuko mbioni kujiunga na klabu ya Raja Casablanca ambapo inaelezwa ameondoka na wasaidizi wawili aliokuwa nao Simba, Darian Wilker na Wayne Sandilands
Miongoni mwa majina ya makocha wanaotajwa Msimbazi ni pamoja na mkufunzi wa timu ya Taifa ya Kenya Benny Mccarthy huku pia jina la Miguel Gamondi mkufunzi wa Singida Black Stars likitajwa
Usikose kutazama mechi ya YANGA VS PAMBA JIJI na SIMBA VS FOUNTAIN GATE, pia na mechi za LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA, MASHINDANO YA CAF LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA au Bonyeza HApa Au hapa pia kudownload app kumbuka app bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama Apk ikileta neno harmful usiogope.

Post a Comment