Jina langu ni Kelvin, na kwa miaka mingi nilikuwa na ndoto moja kubwa kufanya kazi na kuishi nje ya nchi. Nilikuwa nimepata nafasi ya kazi nzuri kupitia shirika la kimataifa, lakini kila mara nilipoomba visa ili kusafiri, nilikumbana na kikwazo kikubwa. Majibu yalikuwa yale yale kila mara: “maombi yako yamekataliwa.”
Hali hii iliniweka kwenye wakati mgumu sana. Nilikuwa nimeacha kazi yangu ya awali nikiwa na matumaini makubwa ya safari hiyo, lakini siku moja baada ya siku nyingine, niliona ndoto zangu zikiyeyuka. Nilianza kukataliwa na marafiki, baadhi wakinidhihaki kwamba nilikuwa nikifukuza upepo, na familia yangu ikaanza kuniangalia kama mtu aliyeshindwa kabisa.
Nilijua nafasi hiyo ya kazi ilikuwa ni nguzo ya maisha yangu mapya, lakini nilijikuta nikilala usiku kucha nikiwa na mawazo. Kila nilipoona watu wakipost mitandaoni wakiwa wamefanikisha ndoto zao za kusafiri, moyo wangu ulikua na maumivu makali. Nilijiuliza: kwa nini ni mimi pekee ninayekataliwa kila mara?. Soma zaidi hapa

Post a Comment