Watoto Wangu Walikuwa Wamefungwa na Laana ya Umasikini, Lakini Siri Niliyogundua Imegeuza Maisha Yao Kuwa ya Mafanikio

 

Kwa jina naitwa Mama Irene kutoka Arusha. Nimekua nikihangaika maisha yangu yote kuhakikisha watoto wangu wanapata maisha bora kuliko yangu. Lakini kila mara nilipokuwa nikiwatazama, niliona historia ya maisha yangu ikijirudia kwao.

Walipomaliza shule walikaa nyumbani bila kazi, walipojaribu biashara hazikudumu, na kila walichoshika kilionekana kusambaratika. Nilihisi kama kuna nguvu ya ajabu inayotufunga sisi kama familia kwenye umasikini wa kizazi.

Nilipokuwa msichana mdogo niliona jinsi wazazi wangu walivyohangaika bila mafanikio. Tulikua tukilala njaa mara kwa mara na hata tulipopata fursa ndogo ya kupanda shamba, mavuno hayakuweza kutulisha zaidi ya mwezi mmoja.

Niliposema sitaki watoto wangu waishi hivyo, nilidhani elimu na bidii yangu ingeweza kubadilisha historia. Lakini mambo yalikuwa tofauti. Watoto wangu walihitimu vyuo lakini wakaishia kuwa waajiriwa wa muda au wasio na kazi kabisa. Wengine walijaribu kuhamia mjini, lakini walirudi mikono mitupu. Soma zaidi hapa 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post