Nilimsaliti na Kumtupa Kama Kitu Kisicho Thamani Lakini Baada ya Kuwa Tajiri Nilimrudisha Kwangu kwa Siri Isiyo ya Kawaida

 


Nitaanza kwa kusema wazi kwamba mimi si malaika. Nilifanya kosa kubwa maishani mwangu, kosa ambalo nilidhani lingeendelea kunitesa milele. Nilikuwa na msichana ambaye alinipenda kwa dhati. Alinivumilia nyakati ambazo sikuwa na kitu, aliniunga mkono hata nilipokuwa sina pesa ya kununua chakula cha mchana.

Lakini nilipata kiburi, nikamsaliti, nikamwambia maneno makali na ya kumdhalilisha, nikamwacha kana kwamba hakuwa na maana yoyote. Niliamini maisha yangekuwa bora bila yeye, nikakimbilia wanawake wengine nikiishi maisha ya starehe zisizo na msingi.

Miaka michache ilipita, maisha yakabadilika ghafla. Niliposikia yule msichana niliyemdharaulisha sasa ni tajiri, moyo wangu ulitetemeka. Watu walizungumza kila mahali kuhusu mafanikio yake. Soma zaidi hapa 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post