Alikimbiwa na mke kisa hana ‘pawa’ ila sasa anatisha kama nini!

 

Kutana na mwanaume mmoja aliyeitwa Jonas, kijana mwenye umri wa miaka 35 ambaye ameoa mwanamke mrembo sana aitwaye Miriam. Ndoa yao ilianza kwa furaha tele; walipendana sana na walitamani kuishi pamoja maisha yao yote.

Majirani walikuwa wakiwaona kama mfano bora wa upendo wa kweli. Lakini nyuma ya pazia, Jonas alikuwa akihangaika na tatizo kubwa lililomuumiza sana – hakuwa na nguvu za kiume.

Mwanzoni Miriam alijaribu kumfariji mumewe na kumtia moyo kwamba matatizo hayo yangepita. Lakini miezi ilivyopita bila mabadiliko yoyote, alihisi kukata tamaa. Hali ya kutokuwa na uwezo wa kumridhisha mkewe ilianza kumtesa Jonas kisaikolojia.

Mara nyingi alikaa kimya, aliepuka marafiki na hata familia yake kwa sababu alihisi aibu. Miriam naye, kwa upande wake, alianza kuonyesha dalili za kutoridhika. Alijitahidi kwa muda mrefu kustahimili, lakini hatimaye alikata tamaa. Soma zaidi hapa 


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post