Jina langu ni Samuel kutoka Murang’a, na nataka kushiriki simulizi ya maisha yangu ambayo hata leo wakazi wa kijiji chetu bado hawaamini ilivyotokea. Kwa miezi mingi tulikuwa tunaishi kwa hofu kubwa. Kila usiku wezi walikuwa wanavamia kijiji chetu, wakipora mifugo, mali, na hata kupiga watu bila huruma.
Tulijaribu mara nyingi kuwaweka mtegoni lakini kila mara walikuwa wanapotea gizani kana kwamba walikuwa na macho ya kuona mbali zaidi ya sisi. Hali hii ilifanya kila mtu kijijini akose amani, watu wakaacha kulala vizuri, na wengine hata wakahama kwa muda kuishi kwa ndugu zao.
Mimi nilikuwa mmoja wa watu waliokuwa wakisumbuliwa zaidi na hali hii kwa sababu nilikuwa na duka dogo ambalo lilikuwa chanzo cha riziki yangu. Lakini mara nyingi wezi walikuwa wakivamia na kuondoka na bidhaa, na mara nyingine hata kunipiga vitisho.
Niliwahi kuibiwa zaidi ya mara tatu, na nilijua kama singepata suluhisho, basi ndoto yangu ya kuwa mfanyabiashara mkubwa ingekufa. Wakati mwingine nilifikiria hata kuuza duka na kuhamia mjini, lakini nilihisi ningekuwa nimeshindwa mapema sana. Soma zaidi hapa

Post a Comment