Watoto Wangu Walinitupa Kama Sifai, Lakini Sasa Wananitumia Pesa Kila Wiki Bila Kukosa na Kuniheshimu Bila Kuchoka

 

Jina langu ni Margaret kutoka Nakuru. Nilikuwa mama ambaye alijitolea maisha yake yote kwa ajili ya watoto wake. Nilifanya kazi ya vibarua, nikahakikisha wanakula na kwenda shule, hata nilipougua mara kadhaa nilivumilia ili wao wasione mateso.

Lakini nilipofika umri wa miaka sitini, mambo yalianza kubadilika vibaya. Nilidhani sasa wangenitunza kwa mapenzi na heshima, lakini badala yake waliniacha peke yangu kana kwamba mimi sikuwahi kuwalea.

Kila nilipoomba msaada wa pesa, walinitazama kama mzigo. Wengine walinijibu vibaya, wengine walipotea na simu zao zikawa hazipatikani. Nilihisi kama moyo wangu unavunjika vipande vipande. Wakati mwingine nilikaa chumbani nikilia, nikijiuliza mbona mateso yangu ya maisha yote yameniletea matunda ya chuki badala ya heshima. Soma zaidi hapa 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post