Jamaa amsubiria mwanamke kwa miaka 19 akishuhudia akiolewa mara mbili ila sasa ni mkewe!

 

Nilipokutana na George mwaka 2012 nilikuwa bado msichana mdogo, lakini cha ajabu alionekana kunielewa kwa namna ya kipekee. Tulipoanza mahusiano, niliona kama ni jambo la kawaida tu, lakini kadri siku zilivyozidi kusonga, niligundua upendo wake ulikuwa wa dhati kabisa.

Mwaka 2016 niliingia kwenye ndoa yangu ya kwanza. Nilidhani pale ndipo kila kitu kati yetu kingeishia, lakini George hakuwahi kukata tamaa. Alibaki akinisindikiza kimya kimya, kana kwamba alikuwa akisubiri majira ya mabadiliko. Na kweli, ndoa yangu ile haikudumu—nikaachika. Hata pale bado hakunikimbia, aliendelea kunisapoti.

Nilipojaribu tena bahati yangu ya ndoa ya pili, George bado alibaki pale pale—akinijali kwa kila hali. Nilipokuwa nikigombana na mume wangu, ndiye aliyekuwa karibu nami. Alinisaidia mahitaji yangu, akanifariji, na akanionesha taswira ya mwanaume ambaye yupo tayari kubeba udhaifu wangu wote bila kunihukumu. Soma zaidi hapa 


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post