Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemtangaza mwamuzi Ahmed Arajiga atachezesha mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Yanga dhidi ya Simba utakaopigwa kesho Jumanne katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Arajiga atasaidiwa na waamuzi wasaidizi Mohamed Mkono na Kassim Mpanga huku Ramadhan Kayoko akiwa mwamuzi wa akiba
Soud Abdi yeye atakuwa mtathmini wa waamuzi
Usikose kutazama mechi zote za LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA, MASHINDANO YA CAF LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA au Bonyeza HApa Au hapa pia kudownload app kumbuka app bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama Apk ikileta neno harmful usiogope.

Post a Comment