Barbara Gonzalez arudishwa kwenye uongozi wa Simba

 


 Kwa mamlaka aliyopewa na Katiba ya Simba, Rais wa heshima wa klabu ya Simba Mohammed Dewji 'Mo' amemteua Crescentius Magori kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Mo ambaye ndiye Mwekezaji wa klabu, yeye ataendelea kutekeleza majukumu yake ya uwekezaji

Aidha Mo amefanya uteuzi wa wajumbe wapya upande wa Mwekezaji ambapo amemrudisha Barbara Gonzalez kuwa Mjumbe wa Bodi pia akiwateua Hussein King, Azim Dewji, Rashid Shangazi, Swedi Mkwabi, Zuly Chandoo na George Ruhango

Usikose kutazama mechi zote za LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA, MASHINDANO YA CAF LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza  HAPA  au Bonyeza HApa   Au hapa pia kudownload app kumbuka app bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama Apk ikileta neno harmful usiogope.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post