LIVE BURE: ITAZAME MECHI YA CONGO VS TANZANIA LIVE HAPA ( KUFUZU KOMBE LA DUNIA )


 Baada ya CHAN, Taifa Stars inaisaka nafasi ya kucheza fainali za Kombe la Dunia 2026.

Ijumaa hii Septemba 5, itakuwa dimba la Alphonse Massemba wakicheza dhidi ya Congo.

Usikubali kupitwa wakati NIJUZE TV Ipo! Mechi hii itaruka mubashara kupitia NIJUZE TV  katika chaneli ya ZBC2 kuanzia saa 1:00 usiku.

Usikose kutazama mechi zote za LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA, MASHINDANO YA CAF LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza  HAPA  au Bonyeza HApa   Au hapa pia kudownload app kumbuka app bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama Apk ikileta neno harmful usiogope.


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post