Kiungo mshambuliaji wa Yanga Celestin Ecua leo ameihakikishia timu ya Taifa ya Chad alama moja muhimu baada ya kutoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Ghana
Hii inaweza kuwa siku ya kihistoria kwa Ecua ambaye ni wiki iliyopita tu alitangaza kuchukua uraia wa Chad baada ya kuitumikia Ivory Coast katika ngazi vijana
Ilikuwa mechi yake ya kwanza tangu achukue uraia wa Chad na ameisaidia timu hiyo kupata alama moja dhidi ya vinara wa kundi I, Ghana
Chad ilipoteza mechi zote 6 zilizopita lakini leo imepata alama yake ya kwanza kupitia bao la Equa alilofunga kwenye dakika 89 likiwa ni bao la kusawazisha
Usikose kutazama mechi zote za LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA, MASHINDANO YA CAF LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA au Bonyeza HApa Au hapa pia kudownload app kumbuka app bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama Apk ikileta neno harmful usiogope.

Post a Comment