Download App ya Nijuze Tv kutazama mechi za ligi kuu Nbc bure, Epl, Laliga, Bundesliga, Seria A, Caf na nyinginezo pia app hii ina chanel za Azam tv na Dstv utaweza kuzitazama bure
Idownload kwa kubonyeza HAPA au HAPA sisi kwetu michezo ni Furaha
Usikose kuitazama mechi za michuano ya CHAN na LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv burekubonyeza HAPA kudownload app
Juzi na jana Yanga iliendesha zoezi la kuwafanyia wachezaji vipimo vya afya ambapo kulingana na ratiba iliyotolewa siku chache zilizopita, Folz ameagiza kuanza maandalizi leo ili kukiandaa kikosi chake kwa wiki mbili kabla ya kuelekea Rwanda kuikabili Rayon Sports katika kilele cha Rayon Day August 15
Yanga inatarajiwa kufanya maandalizi yake katika uwanja wa KMC Complex. Maandalizi hayo yatajumuisha wachezaji wote ambao hawako katika majukumu ya timu za Taifa
Nyota wa kigeni waliosajiliwa katika dirisha hili nao wako jijini Dar es salaam Yanga ikiwa bado inaendelea kuwatambulisha wengine, kumbuka kudownload app yetu ili kutazama mechi live bure kwa watumiaji wa phoenix bonyeza neno Read original liko juu
Jana Yanga ilimtambulisha mshambuliaji Andy Boyeli ambapo zoezi hilo linatarajiwa kuendelea leo. Nyota wengine wa kigeni wanaosubiri utambulisho ni kiungo fundi Mohamed Doumbia na kiungo mshambuliaji Ecua Celestine
Wachezaji hao tayari wako jijini Dar es salaam wakiungana na Moussa Balla Conte, Lassine Kouma na Boyeli ambao tayari wametambulishwa
Beki wa kushoto Mohammed Hussein 'Zimbwe Jr' nae anasubiri utambulisho, hata hivyo yeye yuko kwenye majukumu ya timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' inayoshiriki michuano ya CHAN
Nyota wengine wa Yanga ambao wako kwenye kikosi cha Stars kwa ajili ya CHAN ni Dickson Job, Ibrahim Bacca, Mudathir Yahya, Shekhan Khamis na Clement Mzize
Usikose kuitazama mechi za michuano ya CHAN na LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv burekubonyeza HAPA kudownload app
.png)
Post a Comment