Shomari Kapombe Nahodha Mpya Simba Fadlu apendekeza

Shomari Kapombe Nahodha Mpya Simba Fadlu apendekeza

Download App ya Nijuze Tv kutazama mechi za ligi kuu Nbc bure, Epl, Laliga, Bundesliga, Seria A, Caf na nyinginezo pia app hii ina chanel za Azam tv na Dstv utaweza kuzitazama bure

Idownload kwa kubonyeza HAPA au HAPA sisi kwetu michezo ni Furaha

 Usikose kuitazama mechi za michuano ya CHAN na LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv burekubonyeza HAPA kudownload app

Kocha Mkuu wa Simba Fadlu Davids amempendekeza beki wa kulia Shomari Kapombe kuwa nahodha wa Wekundu hao wa Msimbazi

Kapombe na Mzamiru Yassin ndio wachezaji waandamizi zaidi waliobaki katika kikosi cha Simba baada ya Mohammed Hussein 'Zimbwe Jr' kuondoka

Msimu uliopita Kapombe alikuwa nahodha msaidizi namba mbili huku Fabrice Ngoma ambaye nae ameondoka akiwa nahodha msaidizi namba 3 kwa watumiaji wa app ya phoenix unaweza kudownload app yetu ili kutazama mechi live pamoja na chanel za Azam tv bure kwa kubonyeza neno Read original iko Juu hapo

 Hata hivyo kabla ya kuidhinishwa, Kapombe atapigiwa kura na wachezaji wote wa Simba pale atakapoungana na timu kwenye pre-season huko Misri

Kapombe yuko kwenye majukumu ya timu ya Taifa ambayo kesho Jumamosi, itashuka dimba la Mkapa kucheza mechi ya kwanza CHAN dhidi ya Burkina Faso

Michuano ya cHAN itafikia tamati August 30 endapo Stars itafika fainali, Kapombe na wachezaji wengine wa Simba wanaoshiriki michuano hiyo wataungana na timu jijini Dar es salaam

Usikose kuitazama mechi za michuano ya CHAN na LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv burekubonyeza HAPA kudownload app

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post