Taarifa Mpya na ya kustua ni kuhusu Clement Mzize

Taarifa Mpya na ya kustua ni kuhusu Clement Mzize

Download App ya Nijuze Tv kutazama mechi za ligi kuu Nbc bure, Epl, Laliga, Bundesliga, Seria A, Caf na nyinginezo pia app hii ina chanel za Azam tv na Dstv utaweza kuzitazama bure

Idownload kwa kubonyeza HAPA au HAPA sisi kwetu michezo ni Furaha

 Usikose kuitazama mechi za michuano ya CHAN na LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv burekubonyeza HAPA kudownload app
Mshambuliaji wa Yanga na timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Clement Mzize yupo katika hatihati ya kukosa mechi ya ufunguzi ya fainali za michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika, Wachezaji wa ndani (Chan) 2024 dhidi ya Burkina Faso.

Kesho Jumamosi, enyeji Tanzania wataikabili Burkina Faso kuanzia saa 2:00 usiku kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam.

Kocha Mkuu wa Stars, Hemed Suleiman 'Morocco' amesema kuwa Mzize anasumbuliwa na changamoto ya majeruhi

"Timu ipo tayari kwa ajili ya kupambania kombe la Chan 2024 na wachezaji kwa asilimia 90 wapo katika hali nzuri isipokuwa Mzize ambaye hatma yake ipo kwenye mazoezi ya mwisho kabla ya mchezo kesho Jumamosi," amesema Morocco na kuongeza;

"Vipimo vya mwisho juu yake vitatolewa leo Ijumaa na tutajua kama atakuwa sehemu ya kikosi kitakachocheza mechi ya ufunguzi kesho dhidi ya Burkina Faso."

Morocco amesema timu inafanya mazoezi ya mwisho leo saa 1 usiku kwenye viwanja vya Gymkhana hapo ndio watakapokuwa na majibu sahihi ya mshambuliaji huyo kama atakuwa sehemu ya mchezo au ataendelea na matibabu.

Usikose kuitazama mechi za michuano ya CHAN na LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv burekubonyeza HAPA kudownload app

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post