RASMI: SIMBA WAMTAMBULISHA JONATHAN SOWAH

 RASMI: SIMBA WAMTAMBULISHA JONATHAN SOWAH


Download App ya Nijuze Tv kutazama mechi za ligi kuu Nbc bure, Epl, Laliga, Bundesliga, Seria A, Caf na nyinginezo pia app hii ina chanel za Azam tv na Dstv utaweza kuzitazama bure

Idownload kwa kubonyeza HAPA au HAPA sisi kwetu michezo ni Furaha


 Usikose kuitazama mechi za michuano ya CHAN na LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA kudownload app
Klabu ya Simba imemtambulisha mshambuliaji wake mpya Jonathan Sowah raia wa Ghana aliyetua Msimbazi akitoka klabu ya Singida Black Stars

Ni usajili ambao umefanikishwa na Rais wa Simba mwenyewe Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' baada ya mazungumzo yake na mlezi wa Singida BS, Waziri wa Fedha Mh. Dk. Mwigulu Nchemba

Simba ilikuwa na hitaji kubwa la mshambuliaji ili kuongeza nguvu katika safu hiyo, ilipojitokeza nafasi ya kumpata Sowah hakukuwa na kufikiria mara mbili

Hapa tunazungumzia mshambuliaji ambaye msimu uliopita aliifungia Singida BS mabao 13 katika mechi 14 tu akitua katika timu hiyo kwenye usajili wa dirisha dogo

Bila shaka Sowah ataendeleza kasi yake ya kutupia mabao akiwa katika uzi wa Simba, usajili wake ukimuhakikishia kocha Fadlu Davids uimara zaidi kwenye safu yake ya ushambuliaji

Usikose kuitazama mechi za michuano ya CHAN na LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv burekubonyeza HAPA kudownload app

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post