RAAMI: ECUA CELESTINE ATAMBULISHWA YANGA
Download App ya Nijuze Tv kutazama mechi za ligi kuu Nbc bure, Epl, Laliga, Bundesliga, Seria A, Caf na nyinginezo pia app hii ina chanel za Azam tv na Dstv utaweza kuzitazama bure
Idownload kwa kubonyeza HAPA au HAPA sisi kwetu michezo ni Furaha
Klabu ya Yanga SC imetambulisha usajili wa kiungo mshambuliaji kutoka Zoman FC, Celestin Ecua (23), ambaye msimu uliopita aliitumikia ASEC Mimosas kwa mkopo.
Hatimaye, ndoto ya mashabiki wa Yanga kuona nyota huyo akivaa jezi ya kijani na njano imekaribia kuwa halisi, leo akitambulishwa rasmi
Katika msimu wake wa mwisho akiwa ASEC Mimosas, Ecua alionyesha kiwango cha juu kwa kufunga mabao 15 na kutoa assists 12 katika michuano yote
Ni takwimu ambazo si tu zinaashiria uwezo wake wa kumalizia, bali pia ubunifu wake katika kutoa pasi za mabao.
Kinachomfanya kuwa lulu zaidi kwa Yanga ni uwezo wake wa kucheza nafasi nyingi ndani ya uwanja. Ecua ni mchezaji anayetumia zaidi mguu wa kushoto, ana kasi, mbunifu, na mwenye uwezo wa kucheza kama winga wa pande zote au kiungo mshambuliaji namba 10.
Aina hii ya mchezaji huwapa makocha nafasi kubwa ya mbinu tofauti kulingana na mechi wanazokutana nazo.
Usikose kuitazama mechi za michuano ya CHAN na LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv burekubonyeza HAPA kudownload app

Post a Comment