TAHADHARI: Simba watoa taarifa Hii mpya "Msidanganywe"

TAHADHARI: Simba watoa taarifa Hii mpya "Msidanganywe"

Download App ya Nijuze Tv kutazama mechi za ligi kuu Nbc bure, Epl, Laliga, Bundesliga, Seria A, Caf na nyinginezo pia app hii ina chanel za Azam tv na Dstv utaweza kuzitazama bure

Idownload kwa kubonyeza HAPA au HAPA sisi kwetu michezo ni Furaha


 Meneja wa Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba Ahmed Ali amesema toleo maalum la jezi zilizotambulishwa hivi karibun ni kwa ajili ya pre-season tu na hazitauzwa madukani

Ahmed amewataka Wanachama na Mashabiki wa Wekundu hao wa Msimbazi wasihadaike kwani jezi rasmi kwa ajili ya msimu ujao bado hazijazinduliwa

"Hizi ni jezi maalum kwa ajili ya pre-season tu, hatuziuzi, hivyo asitokee Mwanasimba akadanganywa kuwa jezi hizo zinapatikana sokoni"

"Bado hatujazindua jezi kwa ajili ya msimu ujao, niwahakikishie Wanasimba tutashusha uzi bora zaidi ya huu wa pre-season," alitamba Ahmed

Baada ya Simba kuweka hadharani jezi hizo maalum, mashabiki wamekuwa na shauku kubwa wakiulizia upatikanaji wake

Jezi hizo zimeonekana kuwa na mvuto wa kipekee, ikiwa sasa ni ishara kuwa kuanzia msimu ujao Wanasimba hawatakuwa wanyonge katika suala la jezi

Ahmed amedokeza kuwa jezi kwa ajili ya msimu ujao zitazinduliwa mapema kabla ya Tamasha la Simba Day ambalo linatarajiwa kufanyika katika wiki ya kwanza ya Septemba 2025 kwa wale mnaotumia app ya phoenix mnaweza kudownload app yetu kwa kubonyeza neno Read original iko juu upande wa kulia

Usikose kuitazama mechi za michuano ya CHAN na LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv burekubonyeza HAPA kudownload app

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post