Download App ya Nijuze Tv kutazama mechi za ligi kuu Nbc bure, Epl, Laliga, Bundesliga, Seria A, Caf na nyinginezo pia app hii ina chanel za Azam tv na Dstv utaweza kuzitazama bure
Idownload kwa kubonyeza HAPA au HAPA sisi kwetu michezo ni Furaha
Licha ya kuhusishwa na klabu ya Singida Black Stars, kiungo Khalid Aucho amevunja ukimya akiweka bayana kuwa hatacheza timu nyingine Tanzania baada ya kufunga ukurasa wake na Yanga
Aucho amesema hataki kuvunja uhusiano mwema kati yake na klabu ya Yanga ambayo amekiri imempa thamani ya kipekee
"Nashukuru Sana kwa kupewa tuzo na Yanga, kwangu mimi ni faraja kuona wamethamini nguvu ambayo nimeitoa kwa kipindi chote nipo Yanga"
"Kwangu mimi Yanga ni sehemu ya familia, ni sehemu ya maisha yangu, wameshakuwa ndugu zangu na daima niraturudi hapa"
"Siwezi kuonekana nikicheza Tanzania naondoka naenda mbali, naenda mbali sana na hapa," alisema Aucho
Juzi Rais wa Yanga Injinia Hersi Said alimkabidhi Aucho tuzo maalum ya kutambua mchango wake katika misimu minne ya kuitumikia Yanga
Aucho amepewa nafasi ya kurejea kuitumikia Yanga katika majukumu mengine pale atakastaafu kucheza soka wale mnao tumia App ya phoenix mnaweza kudownload app yetu kwa kubonyeza neno Read original
Usikose kuitazama mechi za michuano ya CHAN na LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv burekubonyeza HAPA kudownload app
.jpeg)
Post a Comment