Yanga nao Kama simba walikataa jambo hili


 Klabu ya Yanga haitashiriki michuano ya kombe la Kagame inayotarajiwa kuanza mwanzoni mwa Septemba 2025

Kwa mujibu wa CECAFA, michuano ya Kombe la Kagame inatarajiwa kufanyika Dar es Salaam kuanzia Septemba 2 hadi 15 mwaka huu ikishirikisha timu 12 kama ilivyokuwa mwaka jana

Taarifa kutoka ndani ya Yanga zinabainisha kwamba, uamuzi wa kutoshiriki mashindano hayo umekuja ili kutoa nafasi kwa benchi la ufundi kuiandaa timu 

Taarifa kutoka ndani ya Yanga zinabainisha kwamba, uamuzi wa kutoshiriki mashindano hayo umekuja ili kutoa nafasi kwa benchi la ufundi kuiandaa timu 

“Tangu tuanze maandalizi ya msimu mpya kikosi hakina wachezaji wote kwani wengine wanaitumikia Taifa Stars inayoshiriki michuano ya Chan, lakini pia tuna tamasha letu la Wiki ya Mwananchi tunalolifanya kila mwaka, hivyo haitawezekana tushiriki mashindano ambayo katikati yake tuwe na tamasha letu”

Jana iliingia rasmi kambini Avic Town ambapo kikosi kinatarajiwa kuweka kambi ya wiki tatu kabla ya Wiki ya Mwananchi itakayofanyika Septemba 12

KUANGALIA VIDEO ZA WAKUBWA BONYEZA ðŸ”ž HAPA

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post