Kabla ya kuelekea Cairo, kikosi cha Simba kimecheza mechi ya kirafiki dhidi ya Kahraba Ismailia, mchezo ukichezwa huko Ismailia
Simba imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 mabao yalifungwa na Mohamed Bajaber na Jonathan Sowah katika kila kipindi
Kocha Mkuu wa Simba Fadlu Davids amesema ulikuwa mchezo mzuri na wenye ushindani kwa kikosi chake
Amewapongeza wachezaji wake kwa kutekeleza vyema mpango wa mchezo huo
Amewapongeza wachezaji wake kwa kutekeleza vyema mpango wa mchezo huo
Simba imewek kambi ya maandalizi Ismailia kwa wiki mbili sasa ambapo August 15 Wekundu hao wa Msimbazi watahamia jiji la Cairo ambako timu itacheza mechi zaidi za kirafiki
Usikose kuitazama mechi ya RAYON SPORT VS YANGA IJUMAA HII pia michuano ya CHAN na LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA kudownload app ikileta neno its harmful usiogop ni kwasababu bado hatujaiweka playstore ni APK

Post a Comment