RASMI: Bajaber atambulishwa Msimbazi
Download App ya Nijuze Tv kutazama mechi za ligi kuu Nbc bure, Epl, Laliga, Bundesliga, Seria A, Caf na nyinginezo pia app hii ina chanel za Azam tv na Dstv utaweza kuzitazama bure
Simba imetambulisha usajili wa kiungo mshambuliaji raia wa Kenya, Mohammed Bajaber (22) kutoka klabu ya Polisi Fc ya Kenya
Bajaber ni 'winga tereza' ambaye anaweza kutumika katika nafasi zote za ushambuliaji kutokea pembeni na namba 10
Winga huyo alikuwa sehemu ya wachezaji muhimu walioisaidia Polisi Fc kutwaa taji la ligi kuu ya Kenya msimu uliopita akipachika mabao 9
Kocha wa timu ya Taifa ya Kenya Bennie Mcarthy alimjumuisha Bajaber katika kikosi chake kwa ajili ya michuano ya CHAN2024 hata hivyo Bajaber alilazimika kuondoka kambini baada ya kukamisha usajili wake na Simba akipoteza sifa ya kuwa mchezaji wa ndani kutazama mechi ya tanzania vs burkinafaso bofya neno read original hapo juu
Ni usajili mwingine ambao ni pendekezo la kocha Fadlu Davids mwenyewe ambaye anahitaji kuboresha safu ya washambuliaji wanaotokea pembeni (winga)
Usikose kuitazama mechi za michuano ya CHAN na LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA kudownload app

Post a Comment