Jitihada za Simba kuinasa saini ya kiungo mshambuliaji wa Azam Fc Feisal Salum 'Fei Toto' ni kama zimefika ukingoni baada ya mchezaji huyo kuamua kubaki Azam FC
Inaelezwa Fei Toto amekubali kuongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuwatumikia matajiri hao wa Chamazi
Simba na Azam Fc zilikuwa katika majadiliano ya muda mrefu kupata suluhu ya uhamisho wa mchezaji huyo lakini ni kama Azam Fc wamefanikiwa kumshawishi asalie
Ni wazi Simba itaendelea kumtegemea Jean Charles Ahoua katika eneo la kiungo mshambuliaji huku Morice Abraham akitarajiwa kuongeza nguvu katika eneo hilo
Simba bado ina nafasi ya kusajili kiungo mshambuliaji mwingine, kwani dirisha la usajili bado liko wazi hadi Septemba 07
Usikose kuitazama mechi ya RAYON SPORT VS YANGA IJUMAA HII pia michuano ya CHAN na LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA kudownload app ikileta neno its harmful usiogop ni kwasababu bado hatujaiweka playstore ni APK

Post a Comment