Yao Kouassi aondolewa kwenye usajili Yanga


Beki wa kulia wa Yanga Yao Kouassi hatajumuishwa katika usajili wa dirisha hili ili apate nafasi ya kupona majeraha yaliyokuwa yanamsumbua

Beki huyo raia wa Ivory Coast alifanyiwa vipimo na kubaini atahitaji miezi kadhaa ili kuwa timamu na tayari kucheza mpira

Yao alifanyiwa upasuaji wa goti lake la kulia ambalo limekuwa likimsumbua mara kwa mara

Inaelezwa tayari Yanga imemsajili beki wa kati wa Singida Black Stars raia wa Ghana, Frank Assink, kwa mkopo wa miezi sita

Kama Yao atakuwa fiti ifikapo Januari 2026, atarejeshwa kikosini huku Assink akirudi Singida BS

Kwa sasa Yanga imelazimika kuongeza beki wa kati kwani mabeki wake tegemeo Dickson Job na Ibrahim Bacca wako katika timu ya Taifa kwenye majukumu ya michuano ya CHAN

Usikose kuitazama mechi ya RAYON SPORT VS YANGA IJUMAA HII pia michuano ya CHAN na LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA kudownload app ikileta neno its harmful usiogop ni kwasababu bado hatujaiweka playstore ni APK

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post