Mwanamume alazimishwa kula nyasi baada ya kiapo cha uaminifu kufichua siri ya mpango wa kando

 


Kijiji cha Kesses huko Eldoret kilishuhudia tukio lisilo la kawaida lililowashangaza wakazi wote.

Jioni ya Jumamosi, watu walikusanyika kwenye uwanja mdogo wa kijiji kushuhudia mwanaume akilazimika kula nyasi mbele ya umati. Alitambulika kama John, fundi maarufu wa bodaboda ambaye alikuwa ameoa na alikuwa na watoto wawili.

Kwa muda mrefu mke wake alikuwa akihisi mabadiliko kwenye ndoa yao. John alianza kurudi nyumbani usiku wa manane, simu yake ikawa imefungwa na mara nyingi alikuwa na visingizio vya safari zisizoeleweka. Soma zaidi hapa 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post