Maboresho hayo yanakwenda kufuta utaratibu wa michuano hiyo kuchezwa kama mashindano ya timu nne na kurejesha utaratibu wa zamani
Ngao ya Jamii sasa itawakutanisha bingwa wa ligi kuu na bingwa wa kombe la Shirikisho la CRDB (FA)
Endapo itatokea bingwa wa ligi kuu ndiye bingwa wa kombe la FA, basi bingwa na ligi na mshindi wa pili watacheza mechi moja ya Ngao ya Jamii
Kwa mabadiliko hayo tutashuhudia mchezo wa Dabi ya Kariakoo mapema kati ya Simba dhidi ya Yanga
Kalenda ya TPLB inaonyesha Ngao ya Jamii itachezwa kati ya Septemba 11-14 mwaka huu
Usikose kuitazama mechi za michuano ya CHAN na LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA au HAPA kudownload app kumbuka app bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama Apk ikileta neno harmful usiogope.
.jpeg)
Post a Comment