Nyuki washangaza kijiji baada ya kufumua siri ya mapenzi yaliyokuwa yakifichwa kimya kimya

 


Asubuhi ya Jumapili kijiji cha Limuru kilikumbwa na mshangao mkubwa. Wenyeji waliposikia makelele ya ajabu walikimbia kuelekea sokoni ambapo kulikuwa na kelele kutoka nyumba ndogo ya kupanga.

Ndani ya muda mfupi kundi kubwa la nyuki liliwazunguka watu wawili waliokuwa wakikimbia nje huku wakiwa hawajamaliza kuvaa.

Watu wa kijiji waliwashangaa kwa sababu waliwafahamu vizuri. Mwanaume aliitwa Peter na alikuwa mfanyabiashara mdogo anayesafiri Nairobi mara kwa mara. Mwanamke alikuwa Mary ambaye aliolewa na dereva wa bodaboda anayeheshimika sana kijijini. Hapo ndipo siri yao ya mapenzi ikafichuka. Soma zaidi hapa

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post