Matokeo MAURITANIA vs TANZANIA leo michuano ya CHAN

Matokeo MAURITANIA vs TANZANIA leo michuano ya CHAN

Download App ya Nijuze Tv kutazama mechi za ligi kuu Nbc bure, Epl, Laliga, Bundesliga, Seria A, Caf na nyinginezo pia app hii ina chanel za Azam tv na Dstv utaweza kuzitazama bure

Idownload kwa kubonyeza HAPA au HAPA


 Bao la dakika za jioni lililofungwa na Shomari Kapombe limeihakikishia timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mauritania

Ni mchezo wa raundi ya pili hatua ya makundi Stars ikiandikisha ushindi wa pili mfululizo na kujichimbia kileleni mwa kundi B baada ya kufikisha alama 6

Hata hivyo leo haikuwa rahisi, Mauritania iliweka ngome imara katika kujilinda na yalihitajika maarifa ya Kapombe kukimbia nyuma ya mabeki kuwahi krosi ya Iddi Nado kuandikisha bao hilo la ushindi

Ushindi huo unaifanya Tanzania kuandikisha rekodi mpya kwa kushinda mechi mbili na kufikisha alama 6 katika michuano ya CHAN

Baada ya ushindi huo, Tanzania imejiweka katika nafasi nzuri ya kutnga hatua ya mtoano

Usikose kuitazama mechi za michuano ya CHAN na LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA  kudownload app

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post