RASMI: MOHAMED HUSSEIN ATAMBULISHWA YANGA

Download App ya Nijuze Tv kutazama mechi za ligi kuu Nbc bure, Epl, Laliga, Bundesliga, Seria A, Caf na nyinginezo pia app hii ina chanel za Azam tv na Dstv utaweza kuzitazama bure

Idownload kwa kubonyeza HAPA au HAPA

Majira ya saa 6 usiku Yanga ilimtambulisha beki wake mpya wa kushoto Mohamed Hussein 'Zimbwe Jr' aliyejiunga na tmu hiyo akitokea klabu ya Simba

Ilikuwa ni suala la muda, Yanga ilifanya 'umafya' kwa watani zao Simba kwa kumnyakua Zimbwe Jr wakati timu hiyo ikipambana kumuongezea mkataba

Zimbwe Jr ameondoka Simba baada ya kuitumikia timu hiyo kwa miaka 11, ameshinda mataji yote makubwa akiwa na Simba

Ni rasmi sasa anakwenda kufungua ukurasa mpya kunako klabu ya Yanga

Usikose kuitazama mechi za michuano ya CHAN na LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA  kudownload app

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post