Apagawa Baada ya Kufumaniwa Kimapenzi na Mke ya Rafikiye

 


Ilikuwa ni siku ya kawaida kwa wakazi wa Ngaramtoni, Arusha, hadi kiliposikika kishindo kikubwa cha kioo kuvunjika kutoka kwa nyumba ya mkazi mmoja aitwaye Hamisi. Majirani walikusanyika haraka tu, wakashuhudia tukio la ajabu: mwanaume mmoja, aitwaye Rashid, alikuwa anazunguka uchi wa mnyama barabarani, akipiga kelele na kurusha nguo hewani huku akitaja jina la rafiki yake kwa sauti ya huzuni.

Kulingana na walioshuhudia, Rashid alikuwa amefumaniwa na bibi wa rafiki yake wa karibu, Juma. Bibi huyo, aitwaye Asha, alikuwa akijihusisha kimapenzi na Rashid kwa muda wa miezi kadhaa kwa siri kubwa.

Lakini siku hiyo Juma alirudi nyumbani mapema kutoka kazini na kuwakuta wakiwa kitandani kwake mwenyewe.

“Alifika bila kutarajiwa, na hakuamini macho yake,” alisema jirani mmoja. “Alichanganyikiwa, akawa kimya tu kwa sekunde chache, halafu akapiga kelele. Rashid aliruka dirishani bila hata kuvaa nguo zake.” Soma zaidi hapa 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post