Mshambuliaji Clement Mzize amechagua kuendelea kutumikia Yanga baada ya kuongeza mkataba
Baada ya majadiliano ya wiki kadhaa hatimaye Yanga imeshinda, ikifanikiwa kumbakisha mshambuliaji wake muhimu
Yanga ilipokea ofa nyingi kwa ajili ya Mzize katika dirisha hili, baadhi ya ofa zikaibua sintofahamu kwani ziliwasilishwa kupitia upande wa waliokuwa wakijitambulisha kuwa wasimamizi wa Mzize na Yanga kuzikataa
Ikapigwa kampeni kubwa mitandao na katika vipindi vya michezo redioni kuonyesha Yanga inapaswa kumruhusu Mzize aondoke
Lakini hatimaye Yanga imeshinda vita hiyo na habari mbaya kwa wale wa upande wa pili ni kuwa TABU IKO PALE PALE..!
Usikose kutazama mechi zote za LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA, MASHINDANO YA CAF LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA au HAPA kudownload app kumbuka app bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama Apk ikileta neno harmful usiogope.

Post a Comment