Simba leo imehitimisha pre-season katika mji wa Cairo ikilazimiahwa sare ya bao 1-1 dhidi ya FS Fassel ya Liberia katika mchezo wa kirafiki
Kocha Mkuu wa Simba Fadlu Davids leo alibadili kikosi akiwapa nafasi wachezaji ambao hawakutumika mchezo wa jana
Bao la Simba lilifungwa na Jonathan Sowah katika kipindi cha kwanza akimalizia pasi ya Steven Mukwala
Huo ulikuwa mchezo wa tano wa kirafiki kwa Simba ikishinda mechi nne na kupoteza mchezo mmoja
Simba ilianzia pre-season mji wa Ismailia kabla ya kuelekea Cairo walikohitimisha leo
Wekundu hao wa Msimbazi wanatarajiwa kurejea jijini Dar es salaam siku ya Alhamisi
Usikose kutazama mechi zote za LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA, MASHINDANO YA CAF LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA au HAPA kudownload app kumbuka app bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama Apk ikileta neno harmful usiogope.

Post a Comment