Yanga yaalikwa Namibia kukipiga na Wababe hawa
Download App ya Nijuze Tv kutazama mechi za ligi kuu Nbc bure, Epl, Laliga, Bundesliga, Seria A, Caf na nyinginezo pia app hii ina chanel za Azam tv na Dstv utaweza kuzitazama bure
Idownload kwa kubonyeza HAPA au HAPA sisi kwetu michezo ni Furaha
Yanga imealikwa Namibia kushiriki michuano maalum ya pre-season ambayo itahusisha timu nne mabingwa wa nchi zao
Wenyeji African Stars mabingwa wa Namibia, Petro Atletico mabingwa wa Angola, Yanga mabingwa wa Tanzania na Lioli Fc mabingwa wa Lesotho
Mechi hizo zimepangwa kupigwa August 23 na 24 Yanga ikithibitisha kushiriki
Tayari wenyeji wanaendelea na mauzo ya tiketi kuelekea mechi hizo maalum kuziandaa timu shiriki kwa michuano ya ligi ya mabingwa
Kabla ya kuelekea Namibia, Yanga imealikwa Rwanda kushiriki Rayon Sport Day August 15 ambapo kikosi cha Yanga kinatarajiwa kuondoka nchini August 13
Msimu uliopita Yanga ilishiriki michuano kama hiyo ya pre-season Afrika Kusini ambayo iliandaliwa na TS Galaxy ikizialika Yanga na Augsburg ya Ujerumani
Pia Yanga ikashiriki Toyota Cup ikiichapa Kaizer Chiefs mabao 4-0 na kubeba taji hilo
Usikose kuitazama mechi za michuano ya CHAN na LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA kudownload app

Post a Comment