Yanga wamtangaza kocha Mpya wa Viungo huyu hapa

 Yanga wamtangaza kocha Mpya wa Viungo huyu hapa

Download App ya Nijuze Tv kutazama mechi za ligi kuu Nbc bure, Epl, Laliga, Bundesliga, Seria A, Caf na nyinginezo pia app hii ina chanel za Azam tv na Dstv utaweza kuzitazama bure

Idownload kwa kubonyeza HAPA au HAPA sisi kwetu michezo ni Furaha


Klabu ya Yanga imemtangaza Tshephang Mokaila kuwa kocha mpya wa viungo akichukua nafasi iliyoachwa na Taibi Lagrouni

Mokaila ni raia wa Afrika Kusini ambaye amewahi kufanya kazi katika klabu za Township Rollers, Marumo Gallants, Horoya Ac, Al Ahli Tripoli pia timu ya Taifa ya Botswana

Ujio wa Mokaila inaelezwa ni pendekezo la Kocha Mkuu wa Yanga Romain Folz ambaye analisuka upya benchi lake la ufundi

Mwishoni mwa wiki Yanga inatarajiwa kuanza kujifua Avic Town kujiandaa na mchezo dhidi ya Rayon Sports katika maadhimisho ya Rayon Sports Day, nchini Rwanda August 15

Usikose kuitazama mechi za michuano ya CHAN na LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA kudownload app

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post