Simba yapaa kuelekea Misri leo kwenye maandalizi ya Pre - season
Download App ya Nijuze Tv kutazama mechi za ligi kuu Nbc bure, Epl, Laliga, Bundesliga, Seria A, Caf na nyinginezo pia app hii ina chanel za Azam tv na Dstv utaweza kuzitazama bure
Idownload kwa kubonyeza HAPA au HAPA sisi kwetu michezo ni Furaha
Alfajiri ya leo Jumatano, Julai 30 kikosi cha Simba kiliondoka jijini Dar es salaam kuelekea Misri kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya 2025/26
Msafara wa Simba ulijumuisha wachezaji wapya na wale waliosalia kikosini katika dirisha hili huku baadhi ya wachezaji wakiendelea na majukumu katika timu za Taifa michuano ya CHAN 2024
Usikose kuitazama mechi za michuano ya CHAN na LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA kudownload app

Post a Comment